Kwann mkuuIla blaza kiukweli unateseka sana aiseeee,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kalpana now ni mwananchiKalpana achana na hizi timu zimejaa siasa uchawara tu gademiiit
Kumbe?
Yaaah mkuu....kashavaa magwanda ya uananchiniKumbe?
Mm nimepumzika kwa muda ila kipenzi changu mamsapu Its Pancho na mam mkwe redio wakini mention wao na wadada wenzie nakuja chapu niwasikilize..😀😀😀Kalpana achana na hizi timu zimejaa siasa uchawara tu gademiiit
Kabisa wa kwetuMm nimepumzika kwa muda ila kipenzi changu mamsapu Its Pancho na mam mkwe redio wakini mention wao na wadada wenzie nakuja chapu niwasikilize..😀😀😀
Si umeona siku hizi sichangii mada za hizi timu ngoja tuone mwisho...
Wakwetu huyo usimsikizeeKumbe?
Nakujua wewe , usijali wa kwetuWakwetu huyo usimsikizee
Umeona nguvu ya wananchi???[emoji23][emoji23]Wakwetu huyo usimsikizee
Yeye ni mmoja kati ya wale wengi ambao ni HAMNAZO!Ila blaza kiukweli unateseka sana aiseeee,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Atapigwa kama ngomaSimba mnyama hatari zaidi mwituni
Sahihi kabisa mkuu [emoji23][emoji23]Hakuna uchunguzi wowote wa FIFA ni akili ya mbumbumbu tu kujifariji.
Ata wanachana wote wa Simba wange iandikia FIFA wasingekuja.
FIFA wange andikiwa na FA ya Nchi kama Serikali imewaingilia isingepita Wiki wangekua wamesha tufungia tena ata kuja wasinge kuja.
Tungepigwa ban wakiwa uko uko ata bila kuleta Maafisa kuchunguza.