Tafiti zangu zimenielekeza kwa fasiri hizi:
Lesbian - msagaji.
Gay - shoga.
intersex - huntha.
homosexual - basha.
transgender - wavukajinsia.
bisexual - ngonokuwili.
transexual - wabadilijinsia.
Hizi ni dhana ngeni japo zimefika Afrika. Mapendekezo yoyote ?