Jason18
Member
- Oct 6, 2016
- 51
- 33
Amani iwe nanyi GT!
Nmepata kuota ndoto ambazo tafsiri yake nmeshndwa kung’amua...ila naomba niulize wajuvi wa mambo
Watu
Watu ninaotokea kuwaona kwenye ndoto sjawah kutana nao hata siku moja.....ni sura mpya kabisa ktk ulimwengu wa kawaida. Yaweza tokea ndoton naota nmekutana nao mskitin, sokon, stend, hospital au penye mkusanyiko wowote.
Swali;je hao watu wapo kweli kweny ulimwengu wa nyama?au ni ubongo unatengeneza sura za watu ambao hawapo?
MAJENGO
Ndoton napata kuona nyumba,mitaa,makanisa ambayo ki uhalisia na kutembea kwangu dunian sjawah kuviona
Swali; Je majengo na hyo mitaa kweli ipo au ni ubongo tu unatengeneza?
Tafadhali naomba mwenye uwezo na elimu anisaidie nataman kufaham
Ahsante