Breadboard
Member
- Jun 28, 2023
- 72
- 136
Wakuu nisaidie mara kwa mara nimekuwa nikiota NDOTO za kuwa nipo shule au wakati mwingne nafanya mtihani na kuishia njian ilihali nimemaliza tokea mwaka jana.
Kuanzia juzi jana na Leo nimeota zaidi ya mara tatu sasa inanipa msongo wa mawazo
Naomba nisaidie suluhisho na namna ya kulitatua hili tatizo nipo na mawazo.