Breadboard
Member
- Jun 28, 2023
- 72
- 136
Unaotavumefaulu au umefeli!?Tuanzie hapo kwanzaWakuu nisaidie mara kwa mara nimekuwa nikiota NDOTO za kuwa nipo shule au wakati mwingne nafanya mtihani na kuishia njian ilihali nimemaliza tokea mwaka jana
Kuanzia juzi jana na Leo nimeota zaid ya mara tatu sasa inanipa msongo wa mawazo naomba nisaidie suluhisho na namna ya kulitatua hili tatizo nipo na mawazo.
Ngoja waje tujifunze 😔Wakuu nisaidie mara kwa mara nimekuwa nikiota NDOTO za kuwa nipo shule au wakati mwingne nafanya mtihani na kuishia njian ilihali nimemaliza tokea mwaka jana
Kuanzia juzi jana na Leo nimeota zaid ya mara tatu sasa inanipa msongo wa mawazo naomba nisaidie suluhisho na namna ya kulitatua hili tatizo nipo na mawazo.
Baada ya KUOTA nafanya mitihan najikuta nimeshtuka na kuamkaUnaotavumefaulu au umefeli!?Tuanzie hapo kwanza
Ni ndoto tuu kumaanisha Bado hujafanikiwa, Pambana!Baada ya KUOTA nafanya mitihan najikuta nimeshtuka na kuamka