bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Tumsifu Yesu Kristo taifa la Mungu,Bwana Yesu asifiwe wapendwa, ndugu zangu upande wa pili ktk Imani Amani ya Mungu iwe nanyi.
Ilikua mnamo saa Tisa usiku wa Leo niliamka ili niweke simu chaji na pia ni kawaida yangu kukagua mazingira nione Kama Pana ugeni wowote nje toka kwa mawakala wa yule muovu yaani wazee wa usiku yaani wachawi na vibaka.
Nikakuta hali shwari,nikaweka simu chaji kuangalia juu ya dirisha namuona mjusi katulia nikaachana nae nikasema anajitafutia riziki,nikavuta shuka nikalala.
Saa kumi nikaamka nikaona bado yupo pale pale mjusi huyo nikasema Wacha niendee jikoni nikachukue mfagio ili nimuondoe.
Baada ya kutoka jikoni na mfagio kurudi sijamkuta,nikasema atakuwa antenna huyo angekuwa wa kawaida angeendelea kuwepo dirishani.
Nikapiga fire 🔥 ya kutosha yaani nikatuma mishale ya moto wa damu ya Yesu tilioni moja kuelekea mashambulizi ilipo radar Yao kwenye mitambo Yao nikaichoma na kuitekeza na kuzisambaratisha ng'ome zao zote popote kupitia ilipo antenna hadi ilipotoka katika roho. Kisha nikalala.
Nikiwa katika Roho nikaota nipo kwa jirani ambaye asubuhi tutakuwa na sala za jumuiya kwa juu Pana jirani yetu alikuwa amekata mti wa mkorosho so panakawa na kenta ya tani hizi ndogo imekuja kusomba hizo Kuni.
Baada ya kuzisomba nikawa nimekaa juu ya Kuni tunaondoka gari kufika kiinuko kidogo ikashindwa kupanda ikawa inarudi nyuma.
Kurudi nyuma, tairi ya nyuma mkono wa kushoto gari ikawa inataka itumbukie shimoni mkono wa kushoto kuchungulia Hilo shimo ni refu lenye Giza nikaona Msalaba kisha gari hakufaulu kutumbukia mtoni ikarudi ikaaa sawa nikashuka nikawa nimeamka.
Nikamshukuru Mungu kwa ulinzi wa usiku na familia nikapiga fire 🔥juu ya ndoto hio nikasindikizia na mishale ya moto yenye damu ya Yesu bilioni 600 ielekee hukohuko walipo adui.
Nakuja tafsiri ya ndoto hio.