Mandela5599
Member
- Jul 28, 2020
- 93
- 306
Kuota unarudi kijijini ulipozaliwa, ulipoishi zamani.
Umelala au kuingia kwenye nyumba ya zamani ya kijijini kwenu ambapo pengine hiyo nyumba haipo tena.
Kuota upo kijijini kwenu na kuona unapitia mazingira flani huko maana yake ni kwamba;
Matatizo ulionayo kwa wakati huo chanzo chake ni huko kijijini kwenu au nyumbani uliko zaliwa, inawezekana ni tatizo la uchumi, mahusiano, afya, elimu n.k
Mungu anakuonesha chanzo cha hilo tatizo ili ujue namna ya kushughulika nalo.
Mara nyingi ni laana za kifamilia (generation curses), mipaka ya kifamilia (family limitation), roho za kurithi n.k so zinatakiwa kuvunjwa ili uwe huru, Unahitaji mtumishi wa Mungu akukomboe kutoka kwenye hivyo vifungo na akupe muongozo wa maombi, kinyume na hapo hutaweza kuchomoka kwenye hali uliyo nayo.