Tafsiri ya neno bluetooth kwa kiswahili

Tafsiri ya neno bluetooth kwa kiswahili

Mpigamsuli

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
3,885
Reaction score
582
wana jf naomba tafsiri ya neni bluetooth kwa kiswahili!
 
Istilahi za kompyuta na vifaa vyake zipo ila binafsi sijakutana tafsiri ya bluetooth.Huenda wataalamu watagundua upungufu huo na kubuni neno la kiswahili la bluetooth.
 
Bluetooth ni jina la MTU alieanzisha hicho kifaa
Sijui tukiitaje na Mimi nasubiri
 
Jaman naomba tafsri ya maneno
IPod
Bluetooth
WhatsApp
Antivirus
Clean master
Browser
Software
Crash disc
Instagram
Soft copy.
Muhimu sana maneno haya hasa kwa wale language takers thanks
 
Kirusha mawimbi. (Kirushwambi) sawa eeeeh next time usije kosea
 
Back
Top Bottom