Nanren
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 3,135
- 3,392
Kulikuwa na ubaya gani kama tungetohoa neno drone la kiingereza liwe droni kwenye kiswahili?
Hii kuiita ndegenyuki ni direct translation ya kijinga.
Mbona wale nyuki wanaoitwa drones kwa kiingereza wanaitwa nyuki tu kwa kiswahili? Sasa hii ndegenyuki inatokea wapi?