Tafsiri ya neno "drone" kuwa "ndegenyuki"

Nanren

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2009
Posts
3,135
Reaction score
3,392
Kulikuwa na ubaya gani kama tungetohoa neno drone la kiingereza liwe droni kwenye kiswahili?

Hii kuiita ndegenyuki ni direct translation ya kijinga.
Mbona wale nyuki wanaoitwa drones kwa kiingereza wanaitwa nyuki tu kwa kiswahili? Sasa hii ndegenyuki inatokea wapi?
 
Wa Tanzania wengi hawana "critical thinkers" katika almost kila sekita wanafanya vitu ambavyo ni abvious sana.
 
Wa Tanzania wengi hawana "critical thinkers" katika almost kila sekita wanafanya vitu ambavyo ni abvious sana.
Critical thinking ni shida kwa watz wengi.
 
Baraza la kiswahili linaongozwa na wapumbavu...
 
Basi kama wanapenda direct translation, bora wangeandika NDEGENYUKIJIKE. Hawa BAKITA wana akili za ovyo sana.
 
Core business ya BAKITA ni lugha ya Kiswahili. Lugha ya Kiswahili sio mali ya BAKITA; wao ni waratibu tu tena Tz only.

Ifike mahali mabadiliko makubwa ya lugha yanapotarajiwa kutokea kama introduction ya maneno mapya, wenye lugha yao washirikishwe badala ya "watalaamu" wachache kujifungia ofisini kutunga maneno.

Ushirikishwaji umma (public opinion) is the best approach. Umma uwasilishe maoni ya neno jipya be it through letters, mitandao ya kijamii, au tovuti ya BAKITA.

Muwasilishaji aeleze ni kwanini anafikiri maana au tafsiri yake ndio sahihi zaidi - I mean atetee hoja yake.

Mpambano uwe very transparent bila hila na wananchi wanaopenda waweze kufuatilia online kupitia mitandao au radio/tv stations live - no chawa!

Finally, neno litakalopata support ya wengi kwa hoja zenye mantiki ndio lipitishwe kama neno rasmi and if possible rewards zitolewe at different stages of the competition.

Dunia ya waliondelea imefika hapo ilipo kwa competition and new ideas. That's it!

Naren, Covax, Lwiva, EvilSpirit, Gunst, Mla Bata, tpaul, Nanren, et. al.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…