Tafsiri ya neno kashfa dhidi ya serikali kikatiba

gkutta

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
273
Reaction score
168
Watanzania tunaomba tafsiri ya kisheria kujua maana ya kashfa ikitofautiana na haki ya mwananchi kikatiba katika uhuru wake wa habbari na kujieleza kisiasa kiuchumi na kijamii!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…