Tafsiri ya neno “MAMA” kwa makabila mengi hapa nchini ni "NYOKO"

Mimi nilipenda tu alietafasiri "motherfuck" na kuwa "kumanyoko" kwa kiswahili,huyu jamaa ana akili sana,sjui "kumamamayo" nayo ilitokea wapi tena
 
neno mama kwenye lugha yetu ya Kiswahili lililetwa na Christians ambapo walichukuwa mfano wa Mama Maria mama yake Yesu Kristo, kuna sala ya Mama Bikira Maria utombeee. Kiswahili cha hapa kwetu kimekuwa influenced sehemu kubwa tu na ujio wa Christianity, Christian countries zoote wanatumia neno mama ambapo asili yake ni mama Maria.
Wamishionari wametusaidia (sana) kutuunganisha na Dunia kwenye mambo mengi tu siyo kwenye lugha tu na maneno kama mama ambapo ni universal, bali pia kwenye majina rasmi ambao leo hii tumeungana na dunia na sisi tuna jina la kubatizwa na jina jina ubini, kabla ya hapo hatukuwa na huu utaratibu, tulikuwa tu na majina lkn hatukuweka utaratibu wa majina mawili yaani ubini la ukoo wa baba ambalo halibadiliki vizazi hadi vizazi, yoote hii ni neema iliyoletwa na Wamishionari na kutufungua kutuunganisha na Dunia.

God bless Wamishionari, bila ya wao leo hii karibia woote tungekuwa lower class muslims ...
 
Tomb@nyoko aka motherfucker
 
Acha uwongo wewe
 
Neno mama halikuletwa na kanisa kupitia bikira maryam

bali lililetwa na nani? kwa maana siyo kibantu na ushahidi umewekwa hapo kwenye lugha mbalimbali za kibantu wana neno lingine for mama, sasa nanli alileta kwetu? ...
 
bali lililetwa na nani? kwa maana siyo kibantu na ushahidi umewekwa hapo kwenye lugha mbalimbali za kibantu wana neno lingine for mama, sasa nanli alileta kwetu? ...
Kizulu ni umama
 
Mama ni NYOKWE kwa lugha moja huko Singida, hivyo basi NYOKO si tusi, ni mama
 
Wengine matusi ni uraibu wetu ,sasa ngoja tufungue koki * kubabake*
 
hee kisukuma utakuwa umefeli mama kwa kisukuma ni mayo lakini hiyo noko ni pale mtu unapomueleza kuhusu mama yake , samahan kama nimevuruga maana
 
hee kisukuma utakuwa umefeli mama kwa kisukuma ni mayo lakini hiyo noko ni pale mtu unapomueleza kuhusu mama yake , samahan kama nimevuruga maana
He wewe so msukuma, Noko, Iya, Nina, Yayu yote hayo humaanisha mama wa kukuzaa, ila mayo ni Jina la kumwitia mwanamke yeyote kwa Heshima anaweza asiwe mama Yako wa kukuzaa ndo una mwita Mayo.
 
Kabla moja huko kanda ya kati mama huitwa nyokwe, ila mwenye kutaja jina hilo sharti awe na umri mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…