Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Hii ilikua mechi ya hisani kupinga madawa ya kulevya na Rushwa, Maradona Team no to Drugs, na Michael Platini No to Corruption na katikati Peĺe.

Miaka kadhaa baadae , Maradona akashtakiwa kwa madawa ya kulevya, na Platini aliekua Rais wa UEFA amekutwa na hatia ya kupokea Rushwa.

Pele ambae yuko katikati yao, hajawahi kukutwa na kashfa ya madawa wala ya Rushwa
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…