Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Maelezo!?

Mkuu jana nimeota ndoto ya kihuni aisee….

Nimeota eti kuna kuku wawili ndani ya makazi ya geto langu mmoja rangi nyeupe mwingine black, sasa mimi nikamshika kuku mweupe nikampiga menu. Lakini alikuwa na ladha mbaya sana. Ebu nisaidie mzee wangu hapo
 
Utakuwa umekula nyama za watu na hiyo sio ndoto bali ni tukio la kweli ila limekuja Kwa mfumo wa ndoto.
 
Ulikula nyama yake? Ulilishwa nyama mfu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…