Ili kuelewa vyema maana ya sinus infection inapaswa ujue maana ya hzo sinus.
Sinus ni sehemu zenye nafasi katika mifupa haswa kichwani. Hz sehemu ni maalumu ama mahususi kayika kuusaidia mfumo wa damu na lymph katika mifupa kufanya kazi barabara. Kwenye kichwa kuna hzo seheme kwenye paji la uso zinaitwa frontal sinus, kwenye sehemu ya kati ya uso maxillary sinuses na katika kichwa huko ni nyingi zaidi.
Mara nyingi watu waposema sinus infection wanakuwa wanamaanisha maambukizi ya bacteria ktk maxillary sinuses.
Hz ni rahisi zaidi kupata maambukizi kutokana na uhusiano wa karibu na sehemu za pua na pia kinywa/meno mara yanapopata maambukizi ya bacteria.
Naamini kwa ufupi umepata picha kidogo nn maana ya sinus infection.
Kutoa maelezo ni vizuri lakini mdau anatafuta neno. Tungeweza kusema "maambukizo ya pua"?. Mimi si mganga halafu sihitaji maelezo kinaganaga ya hali hiyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.