Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Tanzania kuorodheshwa kati ya nchi zenye kipato kidogo cha kati kwa kutumia taarifa za mwaka 2019 ni kuonyesha kuwa kipato cha Mtanzania kimekuwa kati ya dola 1,036 hadi dola 3,045 kwa mwaka kutokana na ripoti ya uchumi wa nchi kwa mwaka 2019.
Hii inamaana kuwa sasa mtanzania ana uwezo wa kupata kiasi cha shilingi 7000 na kuendelea kwa siku.
Swali bado linakuja je ni kweli kipato hicho kipo kwa watanzania wanyonge?
Hii inamaana kuwa sasa mtanzania ana uwezo wa kupata kiasi cha shilingi 7000 na kuendelea kwa siku.
Swali bado linakuja je ni kweli kipato hicho kipo kwa watanzania wanyonge?