Tafsiri ya vifupisho.

Tafsiri ya vifupisho.

OPILO

Member
Joined
Oct 15, 2011
Posts
6
Reaction score
1
Nawaamkua mabingwa.

Natafiti tafsiri ya vifupisho (abbreviations) kutoka Kiingereza hadi Kiswahili. Naomba mchango wa kuendeleza orodha hii.

Mr. - Bw.
P.O.B. - S.L.P.
AIDS - UKIMWI
 
Mrs-Bibi
RSVP-Tafadhali jibu
Dr-Daktari
NB-Tazama chini
FYI- kwa taarifa yako
 
Shukrani Kilembwe japo nilikusudia vifupisho vitafsiriwe kwa vifupisho wala si kwa maneno kamili. Naomba kupata mifano ya vifupisho vinavyotafsirika Kwa Kiswahili kama Vifupisho. Mifano zaidi ni :

Etc - nk ( na kadhalika)
Eg - km ( kwa mfano)

Tafadhali mnichangie.
 
Back
Top Bottom