Shukrani Kilembwe japo nilikusudia vifupisho vitafsiriwe kwa vifupisho wala si kwa maneno kamili. Naomba kupata mifano ya vifupisho vinavyotafsirika Kwa Kiswahili kama Vifupisho. Mifano zaidi ni :
Etc - nk ( na kadhalika)
Eg - km ( kwa mfano)
Tafadhali mnichangie.