Moja ya kitu kinacho niudhi ni kule kuona mtu mwenye uelewa hapa jamvini akitumia prefix ya "News Alert" pahala ambako siko kabisa! Why do you do this?!
Mkuu, ili kuijibu hoja yako hapo juu nitatoa mfano: since unaweka matangazo ya biashara hapa JF mara kwa mara, kama hu-appreciate au hujui involvement ya siasa katika jamii, jaribu kupeleka matangazo ya biashara hizo pahala ambapo pana machafuko ya kisiasa kisha upime ROI ya matangazo hayo baada ya muda fulani kupita.