Tafsiri!

Tafsiri!

X-not

Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
58
Reaction score
4
Habari ya wakati huu waungwana!
Ninaweza saidiwa hili neno kwa kiswahili linaitwaje?
'BUSY'
'in swahili vocabullary'
Kwasababu watu wengi utawasikia wakisema, 'nipo busy bwana, au hata kwa mbwembwe anaindika 'bizzy'....
Napenda kuwasilisha.
 
Busy= Tingwa, nimetingwa.

Nimejaribu hilo, ngoja weledi wa Kiswahili waje hapa.
 
Nashukuru, naendelea kutafuta zaidi mkuu asante!
 
busy: bizi

busybody Swahili : dunzi, pl madunzi

be busy Swahili : -hamanika

be busy (with affairs) Swahili : -hangaika Mfano: kutwa nimesimama na kuhangaika tu

be very busy: -hemewa

be busy Swahili : -jishughulisha [derived: shughuli]

pretend to be busy Swahili : -jishughulisha

busy oneself Swahili : -jishugulisha

busy oneself Swahili : -kazana

busybody Swahili : dunzi, pl wadunzidunzi

be very busy Swahili : -mahanika [Arabic] Mfano: alipoamka alianza kumahanika

busybody , pl busybodies mdunzidunzi, pl wadunzidunzi

be very busy Swahili : -shikwa na kazi

be busy Swahili : -shughulika [derived: shughuli]

be busy Swahili : -taharaki

be busy Swahili : -taharuki
 
Habari ya wakati huu waungwana!
Ninaweza saidiwa hili neno kwa kiswahili linaitwaje?
'BUSY'
'in swahili vocabullary'
Kwasababu watu wengi utawasikia wakisema, 'nipo busy bwana, au hata kwa mbwembwe anaindika 'bizzy'....
Napenda kuwasilisha.


BUSY >>>> Bieng Under Satanic Yale lock (KUWA CHINI YA MINYORORO YA SHETANI)
 
Back
Top Bottom