T the desire Member Joined Apr 17, 2009 Posts 10 Reaction score 0 Aug 29, 2011 #1 Wanajamii nisaidieni kutafsiri. kuna aina ya maharage, ni madogo meusi yana mstari mmoja mweupe yanaitwa ngwara kwa kiswahili, yanalimwa sana hai na maeneo mengine pia hutengeneza mafuta wakati mwingine. je jina lake kiingereza ni nini?
Wanajamii nisaidieni kutafsiri. kuna aina ya maharage, ni madogo meusi yana mstari mmoja mweupe yanaitwa ngwara kwa kiswahili, yanalimwa sana hai na maeneo mengine pia hutengeneza mafuta wakati mwingine. je jina lake kiingereza ni nini?
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,199 Reaction score 8,761 Aug 29, 2011 #2 Ngwara nazijua sana, lakini jina la kizungu silijui! nI ZAO MOJA LA BEI MBAYA!
T the desire Member Joined Apr 17, 2009 Posts 10 Reaction score 0 Aug 29, 2011 Thread starter #3 nafikiri ni black urad dal. sina uhakika
Husninyo JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 23,851 Reaction score 9,472 Aug 29, 2011 #4 the desire said: nafikiri ni black urad dal. sina uhakika Click to expand... Kwenye dictionary lipo hilo?
the desire said: nafikiri ni black urad dal. sina uhakika Click to expand... Kwenye dictionary lipo hilo?
T the desire Member Joined Apr 17, 2009 Posts 10 Reaction score 0 Aug 30, 2011 Thread starter #5 sikuona kwenye dictionary lakini ukitumia wavuti ya google kucheki legumes mbalimbali utaona dal na katika orodha ya dal , picha zinaendana
sikuona kwenye dictionary lakini ukitumia wavuti ya google kucheki legumes mbalimbali utaona dal na katika orodha ya dal , picha zinaendana