tafsiri

tafsiri

Husninyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Posts
23,851
Reaction score
9,472
habari?

naomba kujua hawa viumbe wanaitwaje kwa kiswahili

1. tiger prawn
2. orange crab
3. tuna.
natanguliza shukrani. cc Kiranga, Gaijin Nyani Ngabu @ the boss....... etc
 
Last edited by a moderator:
3. Tuna = Jodari

*lakini watu wengine huandika hivyo hivyo tuna

1. Tiger prawn = kamba

2. Orange crab = kaa

* 1 na 2 siwajui na kabila lao, bali ningesema "kamba wadogo" na "kaa wakubwa" :A S-confused1:
 
3. Tuna = Jodari

*lakini watu wengine huandika hivyo hivyo tuna

1. Tiger prawn = kamba

2. Orange crab = kaa

* 1 na 2 siwajui na kabila lao, bali ningesema "kamba wadogo" na "kaa wakubwa" :A S-confused1:
ahsante sana mpendwa.
 
Back
Top Bottom