"Tafuta binti mbichi umkuze alafu umuoe achana na hao waliokomaa"

kuna jamaa kahangaika na binti wee kumsaidia maisha huku akitengeneza mazingira lakini binti kawa analuka luka anaona sio type yake anataka apate vijana wenzake. Sasa katika kitu kina kinaitwa in the process of time binti kabananishwa na msela wa vijiweni msela hakuwa ametumia utaratibu wa kawaida wa kuanza kutengeneza mazingira au kwa lugha zenu mnasema kumtongongoza .Ali- force kingi kwa kuvamia geto alipokuwa anakaa huyo binti hadi mimba siku hiyo hiyo. Binti career yake yote imeharibiwa na msela ambaye hana future wa plan zaidi ya kushinda vijiweni na wavuta bangi wenzake.

Kumbe hao masela wa hapo kijiweni karibu na anapoishi huyo binti walikuwa wanamjadili huyo binti kwamba kila mwanaume anamtolea nje sasa wale jamaa ni risk taker hawajali hata kwenda ndani(kukamatwa) ndo wakawa wanapanga mpango huo siku nyingi mpaka siku walipoona hiyo opportunity. Binti wa watu hajui hilli wala lile nao walikuwa kila siku wanamsalimia na kumtania tania na kumsaidia hata kubeba mizigo kumbe wana agenda ya masafa marefu. Siku muafaka kwao ilipofika kama ya Osama kukiwa hasa siku hiyo watu wa hapo nyumbani walikuwa hawapo ndo siku walikuwa wanaiwinda wapo watoto watoto tu, Jamaa yao mmoja akajilipua wengine wanacheki usalama nje na kufanya makelele ya ndani ionekana kama ni wapenzi wawili wanavutana na sio vinginevyo kiasi kwamba hakukuwa na suspecting circumstance yoyote kwa wananchi wa kawaida wanaopita
 
Hahaha unajua wanaume huwa tunafanya mambo kwa influence. shauri yako!! kuanzisha hizi kauli mbiu utakuja kurogwa, paka leo bado anatafutwa aliyeanzisha kauli mbiu ya chura.
 
Ulishawowa mkuu ?
 
Huo ubakaji
Technically ni ubakaji lakin mazingira ya kawaida yanakataa maana hata binti hakufungua kesi kwani aliona atajiaibisha zaidi kwenye jamii kaishia kuhama mazingira.
Walimtengenezea mazingira yanayomfunga yeye mwenyewe bila yeye kujua.
 
Am 26 niko na wa 18yrs namuandaa nikamuwowe... Hapo vipi[emoji41][emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…