1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
- Thread starter
-
- #21
Ok, mkuu nimekuelewa ,, asa nifanyejeMwanamke akuzwi..aki kuzwa sio kwa gharama zakoView attachment 1145397
Kweli hayana formulaHayana formula mkuu;
Hamna namna wacha wamvizie ila nikijua nakata mtu mguunawewe binti yako kuna mapopo wanamvizia wamukuze
DuhhhUmenena
Nimezingatia mkuuZingatia hili
Aiseeeh, inasikitisha sanaaakuna jamaa kahangaika na binti wee kumsaidia maisha huku akitengeneza mazingira lakini binti kawa analuka luka anaona sio type yake anataka apate vijana wenzake. Sasa katika kitu kina kinaitwa in the process of time binti kabananishwa na msela wa vijiweni msela hakuwa ametumia utaratibu wa kawaida wa kuanza kutengeneza mazingira au kwa lugha zenu mnasema kumtongongoza .Ali- force kingi kwa kuvamia geto alipokuwa anakaa huyo binti hadi mimba siku hiyo hiyo. Binti career yake yote imeharibiwa na msela ambaye hana future wa plan zaidi ya kushinda vijiweni na wavuta bangi wenzake.
Kumbe hao masela wa hapo kijiweni karibu na anapoishi huyo binti walikuwa wanamjadili huyo binti kwamba kila mwanaume anamtolea nje sasa wale jamaa ni risk taker hawajali hata kwenda ndani(kukamatwa) ndo wakawa wanapanga mpango huo siku nyingi mpaka siku walipoona hiyo opportunity. Binti wa watu hajui hilli wala lile nao walikuwa kila siku wanamsalimia na kumtania tania na kumsaidia hata kubeba mizigo kumbe wana agenda ya masafa marefu. Siku muafaka kwao ilipofika kama ya Osama kukiwa hasa siku hiyo watu wa hapo nyumbani walikuwa hawapo ndo siku walikuwa wanaiwinda wapo watoto watoto tu, Jamaa yao mmoja akajilipua wengine wanacheki usalama nje na kufanya makelele ya ndani ionekana kama ni wapenzi wawili wanavutana na sio vinginevyo kiasi kwamba hakukuwa na suspecting circumstance yoyote kwa wananchi wa kawaida wanaopita
Kila mtu ana mtuwe, kwa hiyo nipore cha mtu?Oa aliye tayari
Kutengeneza sio jukumu lako
Eeeduuhhhhhh
MmmhHuo ubakaji
HahahahHahaha unajua wanaume huwa tunafanya mambo kwa influence. shauri yako!! kuanzisha hizi kauli mbiu utakuja kurogwa, paka leo bado anatafutwa aliyeanzisha kauli mbiu ya chura.
Kila mtu ana mtuwe, kwa hiyo nipore cha mtu?
Dah, tufanyeje mkuuUsijidanganye,hakuna formula hapo,unaweza chukua hivyo vibinti ukavitunza,vikishakomaa utakiona cha moto...
Bado sijaanza huo mkakatiMkuze afu uone baadaye matunda yake yatakavoliwa na wengi
Bado mkuu, ndo nasaka ivoUlishawowa mkuu ?
Dah, noma sanaaKuna muda tunawalaumugu bure tu wanawake lakini asilimia kubwa sisi ndio tunawafanya kuwa hivyo walivyo.
Unamchukua wa umri huo then badae unamtelekeza.
Andaaa mkuu, hiyo kitu tunzaAm 26 niko na wa 18yrs namuandaa nikamuwowe... Hapo vipi[emoji41][emoji41]
Hiyo nimeitoa kijiwen mkuu, sijaanza harakati, ndo maana nimeileta kwenuleo umechemka mzee mwenzangu..LOL
Wakati mwingine kuwa na mwanaume ni ilinziHuo ubakaji