Tafuta hela, scrub sio udada!

Tafuta hela, scrub sio udada!

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Nimetafuta hela juani, siku nyingine vumbini, mara nyingine ni kwenye mvua au porini nalala na fisi.

Sasa nakuja mjini kuchukua hela mara moja, kwa nini nisiingie saloon spa kufanya scrub kujiweka safi na masaji kuupa mwili raha!

Tafuta hela, ukipata hutaona kama scrub ni udada.

Weekend njema wakuu wote humu
 
Nimetafuta hela juani, siku nyingine vumbini, mara nyingine ni kwenye mvua au porini nalala na fisi.

Sasa nakuja mjini kuchukua hela mara moja, kwa nini nisiingie saloon spa kufanya scrub kujiweka safi na masaji kuupa mwili raha!

Tafuta hela, ukipata hutaona kama.scrub ni udada.

Weekend njema wakuu wote humu
Mimi scrub product zipo apa ndani sipangiwi Wala mtu asinishaurii...... Fanya kitu kwa ajili yako, pendeza, jikubalii, jipe ur self love na km mtu wa kutoka basi tafuta sehem nzurii tulivu..... Enjoy what you harvest

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Hizi kauli za tafuta hela huwa ni za kizembe sana.
Masikini hupenda sana kutumia hizo kauli.
 
Nimetafuta hela juani, siku nyingine vumbini, mara nyingine ni kwenye mvua au porini nalala na fisi.

Sasa nakuja mjini kuchukua hela mara moja, kwa nini nisiingie saloon spa kufanya scrub kujiweka safi na masaji kuupa mwili raha!

Tafuta hela, ukipata hutaona kama.scrub ni udada.

Weekend njema wakuu wote humu
Asee futa huu utopolo nenda faster international forum kuiunga mkono taifa teule tukufu na takatifu katika zoezi lake la kuifuta na kusafisha kundi lakisenge la kigaidi Hamas.

Unangoja nini sasa? Ambaa mara moja kammon
 
Ukiwa na hela pesa huwa ni automatic scrub una ngaa tu.

Wala huhitaji kujichubua.
Ndawoo wewe ukishikaga hela vijichenji unakuwaga na nyodo na fujo ndo maana wanakuwekeaga vipande vya chupa kwenye chakula.
 
Sisi tunaofanyiwa nyumbani hii mada haituhusu 🤗
 
Ndo mana wanaume siku izi hamna tafauti na dada zenu,alisikika mwanaume mmoja wa mkoani akisema [emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom