Tafuta jina la movie hapa

Tafuta jina la movie hapa

Quavohucho

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2020
Posts
798
Reaction score
2,028
Kama title inavojieleza ningependa hii thread iweze kutusaidia kupata majina ya movie mbali mbali ambazo tumewai kuangalia, kusikia au kusimuliwa afu ukasahau au kushindwa kujua jina movie husika na ambao watakuwa wanaijua watatupa jina la movie hisika kulingana na scene zitakavo elezewa.

Title inaweza kutusaidia kutafuta tena movie hio

Mimi natafuta title ya movie moja ya kitambo kidogo ina scene hizi:

Kulikuwa kuna mchezo wa kuuana na atakaye baki kati ya washiriki basi anachukua pesa kitita.

Na washiriki wote walikuwa wanawekewa micro chip mwilini ili iwe rahisi kujulikana ulipo Ili uwawe.

Kuna scene Padre alikuwa pombe ambapo ndani ya hio pombe Kuna mtu alidumbukiza hio chip kwahyo father name akawa mshiriki wa hio game lakini baadae ilitoka mwilini; kwa mtililiko wa scene anaejua jina la movie hio anisaidie

I'll niweze kuitafuta

Thanks
 
Back
Top Bottom