Nikishindwa kumkamata akajichanganya na wenzake nakua nshapoteza bahatiUkienda porini nyani wa kwanza kabisa kumuona, ndo nyani wako wa bahati
Rabbit foot
Horseshoe
Lucky monkey
Ukipata ivo vitu na usipokua tajiri njoo uniulize Mimi.
All the best, usiache kuja kutoa ushuhuda hapa jukwaani.
Ile chuma anayovalishwa farasiKiatu Cha farasi manake Nini..kwato au
π€£π€£Vijana kukosa kazi za maana kunafanya muwaze upuuzi tu kuanzia asubuhi mpaka jioni.