Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna jamaa alipata ajali.....alilazwa hospitali....Kuna nesi alimhudumia vizuri...hata siku akiwa off humletea chochote.....kwa kifupi jamaa alikuja kumuoa yule nesi....Leo hii wanawajukuu.....ndoa ipo barabara.Nani atakubali kuolewa bila kujua uhakika wa maisha mazuri? Wazazi wenyewe ni kikwazo kutoa binti yao aolewe na asiye na kitu
Hizi ndio za hivi hutokea mara 1 kwa miaka 5.Kuna jamaa alipata ajali.....alilazwa hospitali....Kuna nesi alimhudumia vizuri...hata siku akiwa off humletea chochote.....kwa kifupi jamaa alikuja kumuoa yule nesi....Leo hii wanawajukuu.....ndoa ipo barabara.
I appreciatenilifanya jaribio la kuoa nikatuma mshenga akaeleze muoji hana kazi ya kipato cha kueleweka, amepanga chumba, hana kitanda na godoro analalia maboksi chini, maisha yake hayana msisimko wa mali, ana miaka sitini. Binti alikubali akasema huyo ndio mzuri tutaanza naye maisha chini na tutafanikiwa. Binti alikuwa na mtazamo wa aina yake tofauti na wengine wanaoangalia ujazo wa mali ndio wakubali kuolewa
Mnataka kutaftiana lawama tu. Kama mtu ana upendo atakupenda tu haina haja ya kufake maisha😃
Waambie mdg wangu....Mnataka kutaftiana lawama tu. Kama mtu ana upendo atakupenda tu haina haja ya kufake maisha😃
Hongera sana hakika ulipata kilicho chema.nilifanya jaribio la kuoa nikatuma mshenga akaeleze muoji hana kazi ya kipato cha kueleweka, amepanga chumba, hana kitanda na godoro analalia maboksi chini, maisha yake hayana msisimko wa mali, ana miaka sitini. Binti alikubali akasema huyo ndio mzuri tutaanza naye maisha chini na tutafanikiwa. Binti alikuwa na mtazamo wa aina yake tofauti na wengine wanaoangalia ujazo wa mali ndio wakubali kuolewa
Maokoto yakiwa kiungo jua ipo siku mtaachana tu. 😀 Akipatikana mwenye namba kukuzidi utaachwa mchana kweupe wanawake wenye tamaa ya hela hawajuagi kuridhika.Ilikua enzi zetu ila kwa sasa mtapigwa na tukio....unadhani anakupenda kumbe anaangalia mwenye afadhali ya hali huko kwingine...ww muonyeshe maokoto akuachie moyo...ndo maisha ya sasa Balqior