Mimi nataka kuanzisha kipindi cha tv show kwenye TV za Tanzania. Ila sijui mikataba ya vipindi Tanzania Ina kuwa je. Show hiyo itakuwa ni ya kusafiri kila nchi.
Ila kwa kuanzia naanza kusafiri kila mkowa wa tanzania na kuongea wenyeji. Lengo kubwa itakuwa ni kuonyesha fursa za biashara, kazi na kuelimisha jamii.