Tafuteni Jina lingine KIBAMIA linakera mno.

pipi mti

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
764
Reaction score
514
Wakuu naomba niwashirikishe katika huu mjadala maana haka kajina Kamekua kakitumika kama silaha ya kutuathiri kisaikolojia Sisi wanaume.

Ukizinguana na demu tu kashakutangaza kwamba wewe ni kibamia. [emoji23] [emoji23]

Imefikia hatua Hadi mtu ukisikia hata kwenye wimbo vimetajwa mashine na kibamia mtu unaanza kujiuliza upo kundi gani. Na hapo ndio panapoboa zaidi maana walioanzisha hako kajina hawajatoa kipimo Kwamba Kuanzia hapa Hadi hapa ni kibamia na hapa ni mashine.kwaiyo maana yake ukiitwa kibamia au mashine na mwanamke ujue kakulinganisha na mshkaji wake mwingine[emoji17] .

Wanawake yenu tunayajua lakini Tunawasitiri, ebu tupumzisheni na hako kajina jamani. Au mnataka na Sisi tulete yenu mezani?

Nawasilisha.
 
Kibamia hakizidi kidole cha shahada kinapokuwa kimesimama imara kama mgambo wa jiji
 
Kwani huijui bamia mkuu? Ukiona una size hata ya bamia ya kawaida siyo kile kibamia kidogo,ww ni kiba100
 
Sidhani kama ni hivyo, ukifuatilia historia hilo neno limeanza hivi juzi tu ina wadada wamezidi umalaya sana. Wao wanafikiri mapenzi ni mzigo mkubwa, mdada anaehitaji mzigo huo bora aolewe na punda tu
Mkuu ile mashine ya punda si mchezo[emoji23] [emoji23]
 
Nilishasema kuwa "UDOGO WA MKONO HAUPUNGUZI UTAMU WA NGOMA... BALI NI UFUNDI WA MPIGAJI "...
we Piga kazi bro.... Chamsingi ujue udhaifu wako na jinsi ya kuukabili ili uende na mdundo wa ngoma...
Nadhan umenielewa
Nimekusoma mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…