Tafuteni pesa, hakuna mke wa mtu

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Salaam Wana JF nikianza kwa vyeo vyenu: new members, members, jf experts, na
wale ma Platinum members ambapo jf nzima tupo Mimi LABAN og na Mshana Jr

Back to the topic
Baada ya kufanya utafiti ( research) kwa muda wa miaka 20 nimekuja kugundua kuwa pesa Ina nguvu kubwa kuliko heshima ya mtu, umri hapa duniani especially kwenye mapenzi

Hili limetokea baada ya hapa kitaa nilipopanga kutrend habari za Mimi kumpiga Kitu kizito muhindi ( betting) nimeona rate ya dadaz wa Rika zote wakijisogeza kwangu......salaam haziishi......namba ngeni kila siku wakilalamika kuwa nmekuwa adimu ilihali wengi wao Ni married tayari!!!!!!!!

Nb. Vijana tafuteni pesa .....now nipo napanga ratiba ya kuanza kubandua mmoja mmoja[emoji23][emoji23]

Ushauri wenu.....vipi dozi iwe mara ngapi kwa siku????????
But ushauri uwe constructive tu (positive)[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jiandaeni kupigwa matofali kama yule jamaa wa njombe. Hata uwe na pesa mke wa mtu ni mke wa mtu. Na mtakapo lawitiwa baada ya kufumaniwa msiache kuja kuanzia mada humu kutoa ushuhuda
 
Jiandaeni kupigwa matofali kama yule jamaa wa njombe. Hata uwe na pesa mke wa mtu ni mke wa mtu. Na mtakapo lawitiwa baada ya kufumaniwa msiache kuja kuanzia mada humu kutoa ushuhuda
Mkuu...tuombeane mema

Lkn nmesema nahitaji ushauri positive tu[emoji23][emoji23]
 
Hivi una mama wewe? Unapoongea ujinga kama hivi unamwachaje salama? Akili za mapana road hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…