Tafutwa na wote ila sio Alex Mahone

Yani kanishangaza nikafikiri huyo alex tupo nae huku kitaa.. na jambo la movie yeye analiweka kwenye hali halisi.
Wapi nmeliweka kwenye uhalisia?
 
Mnabishana ujinga mtupu. Director na mtunzi wa story ndo wenye akili. Hao kina Michael na Mahone ni waigizaji tu kwa kufuata scripts.
Hakuna waigizaji wanao igiza ovyo?
 
Pamoja na yotee ila T bag πŸ˜‚πŸ˜‚ ni wakumdunda kwa kila kitu. He had no friends, he lied to them na they believed him. . anakauli yake anasema I was born on the mountain side πŸ˜‚πŸ˜‚
Sema yule jamaa bn alimuua Dr aliemshona Mkono kila mdada alieslide nae alimmaliza, ila Kuna maeneo hakua jeuri mfano
Mbele ya Michael Scofield, T burg hakua na jeuri yeyote
Mbele John Ambruce alileta maseke kufumba na kufumbua hana Mkono
Mbele ya yule mama na watoto aliwapenda sana mpaka dakika za mwisho hakuwafanya chochote
 
Drugs ndio zili kuwa Zina boost akili Ili kuweza kujua ,ila bila hivyo hawezi fikiria
 
Pamoja na yotee ila T bag πŸ˜‚πŸ˜‚ ni wakumdunda kwa kila kitu. He had no friends, he lied to them na they believed him. . anakauli yake anasema I was born on the mountain side πŸ˜‚πŸ˜‚
Sempa fi sempa fi
 
Muulize mama ako huenda imetoka ukiwa hujazaliwa 2005 au ulikuwa kijijini
Kwa hiyo mama yangu ndiye centre ya haya mazungumzo.

Mmeshikwa pabaya na sasa mnaparamia paramia hoja bila hata kuyumia akili mlizonazo za kuvukia barabara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…