Tag and Ask

Kaboom

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
10,828
Reaction score
15,001
Wasalaam Wapendwa

Uenda kuna swali ungependa kumuuliza MwanaJF flani humu ndani..Basi si mbaya kama ukimTAG na kumuuliza hapa..

Ni vyema tukatumia lugha ya kistaarabu ili kuepeuka kukwazana..
 
Swali la pili, kuna mdada nimeona kakuuliza Kaboom kama hio avatar ni picha yako halisi, inasemekana hukumjibu public ukaamua kumjibia PM, Kwa nini lakini aiseee kujibu maswali ya public kwa kutumia PM??
Teh teh..Mkuu halikuwa swali langu..Mi nililidandia tu..Ila naamini huyo jamaa unamjua..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…