Tag members wawili unaowakubali sana hapa JF

Kwani yule alofanya ukajipikilisha kaishia wapi? Usikubali kuungua hivi hivi bwana. Vuta weka ndani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yule alikuwa wa mualiko tu
 
Mrembo cute eyes kokote ulipo nakukubali mama la mama Yale macho tu balaa hakika huna mpinzani humu Dada la Dada


bila kumsahau jamaa anaitwa @chrismoriss much respect broo haha nakumbuka ule Uzi wako tulikula ban kwa siku moja much respect sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu kweli naona kuna ujumbe mods wanajaribu kutupa mimi na Mshana ila hatujauelewa bado
[emoji177][emoji419][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…