Hahaha ase umenshinda tabiaAsa kwani mume wa mtu haipiti arif?
Kama ni mmoja wa wachache wanaojua siri zangu haihitaji nguvu nyingi kuonesha vile nakukubali
Kweli, kuna ID sijawahi kuziona jukwaani nashangaa ye kaziona wapi
Mimi sio attention sicker[emoji30][emoji30][emoji30] SEEKER... SICKER [emoji119][emoji119][emoji119][emoji23]Nawashukuru Wana jf wenzangu niliwapenda ila uhalisia umeonyesha hamnipendi kila zinapoanzishwa nyuzi Kama huwa sitajwi kamwe as if am nothing.nilijua Niko kwenye familia inayojali hisia kumbe hapana anyway nimewaelewa .
Kumbe mnavyowakatisha tamaa waliochoshwa na maisha huwa hamuigizi ndio nyie halisi mlivyo.
Hamjali hisia za wengine sikutegemea nitatajwa ila nilipitia uzi huu ili nione thamani yangu kwenu unfortunately am worthless!!
Kuanzia Leo nadhani sitatuma post yeyote iwayo mpaka naingia kaburini.
Kwaheri jf kwaherini (I planted my pumpkins on a desert)
Hamtaniona humu milele
Mimi sio attention sicker Ila nilijua kwamba humu Kuna watu wanaojali watu kumbe nop I was wrong
Mungu awe nanyi.
Chaoo
Hii I'd ipoKweli, kuna ID sijawahi kuziona jukwaani nashangaa ye kaziona wapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nawashukuru Wana jf wenzangu niliwapenda ila uhalisia umeonyesha hamnipendi kila zinapoanzishwa nyuzi Kama huwa sitajwi kamwe as if am nothing.nilijua Niko kwenye familia inayojali hisia kumbe hapana anyway nimewaelewa .
Kumbe mnavyowakatisha tamaa waliochoshwa na maisha huwa hamuigizi ndio nyie halisi mlivyo.
Hamjali hisia za wengine sikutegemea nitatajwa ila nilipitia uzi huu ili nione thamani yangu kwenu unfortunately am worthless!!
Kuanzia Leo nadhani sitatuma post yeyote iwayo mpaka naingia kaburini.
Kwaheri jf kwaherini (I planted my pumpkins on a desert)
Hamtaniona humu milele
Mimi sio attention sicker Ila nilijua kwamba humu Kuna watu wanaojali watu kumbe nop I was wrong
Mungu awe nanyi.
Chaoo
Mbona hujanitajaWanafamilia yangu wa LIKES ❤❤
Numbisa The Happiness carbamazepine Saint Anne Khantwe
Davet king himself 😀
SHIMBA YA BUYENZE big bro
andjul uncle maparachichi
capitalpool mr. Codes
ningendako baba kajacho 😀😀
myoyambendi jirani 🖐
moudgulf 🖐🖐
Daemusin babu rojo rojo 🍂
Ndiyo yale yale aliyokuwa anayasemea bro Mnazareth[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu Mimi nilikuwa najiandaa kukutaja hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani jirani sijui nilisahau vipi..Mbona hujanitaja
superbug Kuwa na amani moyoni huwezi kukosa anayekupenda humu ni vile watu wameweka moyoni..Nawashukuru Wana jf wenzangu niliwapenda ila uhalisia umeonyesha hamnipendi kila zinapoanzishwa nyuzi Kama huwa sitajwi kamwe as if am nothing.nilijua Niko kwenye familia inayojali hisia kumbe hapana anyway nimewaelewa .
Kumbe mnavyowakatisha tamaa waliochoshwa na maisha huwa hamuigizi ndio nyie halisi mlivyo.
Hamjali hisia za wengine sikutegemea nitatajwa ila nilipitia uzi huu ili nione thamani yangu kwenu unfortunately am worthless!!
Kuanzia Leo nadhani sitatuma post yeyote iwayo mpaka naingia kaburini.
Kwaheri jf kwaherini (I planted my pumpkins on a desert)
Hamtaniona humu milele
Mimi sio attention sicker Ila nilijua kwamba humu Kuna watu wanaojali watu kumbe nop I was wrong
Mungu awe nanyi.
Chaoo
Nipo Aunt mihangaiko tu. Hahahaa. Saafi.MiAunt akeeeee; umemissika kiukweli. Bana weee, najipa u-busy tu hahaha; ila daily lazima niingie humu hata kama ni kimya kimya. Ahsante sana mpendwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimegundua nilikumiss MtaniNipo Aunt mihangaiko tu. Hahahaa. Saafi.
Karibu Aunt Tupo pamoja tuzidi kujikinga na maambukizi ya hii Corona.
Mtani umegundua nini tena? Au ndio uligundua kunimiss Mtani. Teh teh (Kiswahili hiki) lol 😀😀
Kwani unajua nazungumzia ipi?
Hahah si unajua kiswahili cha Pwani kinaenda mbele nyuma..Mtani umegundua nini tena? Au ndio uligundua kunimiss Mtani. Teh teh (Kiswahili hiki) lol [emoji3][emoji3]
Nipo Mtani na ni mzima kabisaa. Kwema?