Tag members wawili unaowakubali sana hapa JF

Much love to you sweet Makiseo ni mara chache sana nisikute notification ya like kutoka kwako hata niwe nimeandika comment sijui kichochoro gani.!
I real appreciate this mumie, Leo nimepata nafasi ya kutoa ya moyoni.!!
Kweli aisee, kuna watu unakuta wamekupa likes kwenye comments zako katika threads ambazo hata haukuwaza kama watazifungua unabaki tu unajiuliza mwee huyu kafika hadi huku.
 
Kweli aisee, kuna watu unakuta wamekupa likes kwenye comments zako katika threads ambazo hata haukuwaza kama watazifungua unabaki tu unajiuliza mwee huyu kafika hadi huku.
Yaani kuna watu wanajua kusambaza upendo mdogo wangu mpaka unaikamata ID yake akilini japo siyo mchangiaji sana.! Maana 'reacted to your post' zitokazo kwake ni kibao, angekuwa mkaka ningesema he is my secret admirer.!

'siwezi kuandika kitu kifupi, nina matatizo'.!!
 
Page ya 27 hii hakuna hata mmoja anayenikubali....

Ama kweli Corona kiboko... mtavaa mabarakoa mpaka mtakaponikubali

Ngoja niendelee kunywa sanitizer yangu K Vant

CC Kasie mtata malabuku zako, umesababisha nisikubaliwe na hiki kizazi cha enzi za Corona
 

Babuu njoo ufuturu futari zote ziko tayari, ya kwenye hoti ponti na kwenye barakoa... Chungu cha kwanza leo...

Chagua utaanza kufuturu futari ipi...!???

Kabla hujaanza kufuturu ntakusanitaizi na asali kisha ntakukausha na ulimi ili ufurahie futari yako bila kuzimia...

Ukishashiba futari zote bado utataka kutagiwa tena...

Mayai yangu bado hayajakauka Babuu, ntakutagi vile unapenda hadi ukinahiii....

Malabuku zakoo bin korona sanitaiza aahahahahahhaaaa

Aaiilaaabyuuuuuu, mwaah!!.
 
Hahaha mie nakutanaga nao wengi tu na sijui hata niwaiteje maana pengine wanaweza kuwa siyo secret admirers wangu !!

Huo mstari wa mwisho umemaanisha ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…