Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
KENZY hivi huyu jamaa ulimpa sifa gani eti? asee hujakosea maana

akikujibu kitu lazima tu akujibu kwa namna ambayo itaanzisha dialogue...

sasa akikutana na yule mzee wa tit for tat,uzi wote unageuka wa watu wawili tu.
Jamaa mbishi Sana..๐Ÿ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu ubishi ni nyuma ya keyboard tu dear, in real life mie ni mpole sema tu ndiyo vile sipendi kuonekana mpole naogopa nitaonewa.

Lakini naupenda ubishi wako wa humu
 
KENZY hivi huyu jamaa ulimpa sifa gani eti? asee hujakosea maana

akikujibu kitu lazima tu akujibu kwa namna ambayo itaanzisha dialogue...

sasa akikutana na yule mzee wa tit for tat,uzi wote unageuka wa watu wawili tu.
Without dialogue, there is no dialectic.

Without dialectic, there is no development.
 
Unanifokea ujue...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ