Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Aisee kati yangu na yako nani hayuko sawa we huoni aibu kutongoza dada zako na wa mama humu.! Huna adabu we mtoto
Dj waletee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyo kijana ni mjinga tu tena ni mtoto kabisa bado anakunya na kulala kwa kutumia boom We mchukue demu huyo mkuu
Kijana ananiambia tukutane tuzichape🀣

Sasa najiuliza kwa pesa au misuli,kama kwa ubavu akishinda mrembo atakula misuli?🀣
 
We jamaa omba sana nisikutie mikononi mwangu.
We ni kanya boya tu huna lolote. 🀣🀣🀣 We wakunitisha unaenda huku unapigwa cha mbavu huku unapigwa cha mbavu kama zezeta vile πŸ˜†πŸ€£πŸ€£πŸ€£. Bora hata pacha wako Binadamu Mtakatifu kaamua atulie ajisomee πŸ˜ƒπŸ˜œπŸ˜œ we endelea kutia tia huruma humu πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©
 
Wapi huko nimeenda, usinitafute maneno sitaki ban
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…