mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
nimepaliwa🤣Mimi nina sauti ya 4😂
Hakikisha hapo nyuma ya keyboard hamwagi chozi😅Kijana hana hela hiyo mkuu unatishwaje na mtoto mkuu
ohoo,Nje ya yote ila she's a dime😋..
Bless me ndugu au hutaki kadi ya harusi?
Pole sana😂nimepaliwa🤣
Me gangster sina sauti ya kubembeleza ooh!!Sasa hakuna kupinga😂😂😂
Avatar aliyobadili inajieleza🤣ohoo,
kwani yeye anasemaje?😂
Mimba tayari kwani? Si ufanye mambo kwanza ndio tuanze kufunga order ya mrembo 😂Ndio nafanya hivyo,wewe ndio mfanyabiashara pekee ninayekuamini unaweza kumfikishia mrembo bidhaa lakini hutaki🤣
Huu ni uongo 😂Me gangster sina sauti ya kubembeleza ooh!!
Hapo umejikaza hadi mwisho 🤣🤣Me gangster sina sauti ya kubembeleza ooh!!
Kwahiyo zawadi/kumnunulia kitu kwako hadi nimpatie mimba?🤣Mimba tayari kwani? Si ufanye mambo kwanza ndio tuanze kufunga order ya mrembo 😂
I love all of you😌❤️Kwahiyo zawadi/kumnunulia kitu kwako hadi nimpatie mimba?🤣