Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
[emoji23][emoji23][emoji23] tena hapo TCRA umenikosesha kazi wallah.

Sahiv ningekua nakata mitambo ya network ili msiwe JF mnachat udaku.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ TCRA ya nyokooo
Juzi wametumbuliwa mbona jina lake hatujaliona?
 
Kiukweli yeye kwenye taaluma yangu ndo yuko vizuri, na alikua anani insipre sana.
Mengine yametokea accidentally, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata cjui ilikuajee, nkashangaa sana.
[emoji23][emoji23]
 
Me aliniahidi kunipeleka Ibiza nile bata, ngozi yangu sio ya kupigwa na jua [emoji12] na niwe namsaidia kuwalipa mishahara kina cocastic na employees wengine [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasemaje JF sihamii, antonnia alimkopa 50k ya vocha, yeye akampa 100k.

mara watumiane picha za chiu, yaan full tafraniii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] TCRA ya nyokooo
Juzi wametumbuliwa mbona jina lake hatujaliona?
Sasa yeye anatumbuliwajee akati ndo mkuu wa kitengo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yeye anakula mema ya nchi, wadada wa JF ajira zipo kwake, na kila kada ana connections, mshindwe nyie wenyewe tyuuh.
 
Bff hii week end mbona mmechachuka mno? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… weekend Ina mambo hii hebu lete kwanza huo ubuyu tule
Kwanza yule Mario yupo wapi simuoni siku hizi umemficha wapi benten wako πŸ˜…
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasemaje JF sihamii, antonnia alimkopa 50k ya vocha, yeye akampa 100k.

mara watumiane picha za chiu, yaan full tafraniii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🀣🀣🀣🀣 Ila babu kashindikana jamani πŸ™ŒπŸ™Œ
Ebu aje anipe ticket ya Ibiza holiday ishakaribia nataka kwenda kupumzisha ubongo
 
Sasa yeye anatumbuliwajee akati ndo mkuu wa kitengo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yeye anakula mema ya nchi, wadada wa JF ajira zipo kwake, na kila kada ana connections, mshindwe nyie wenyewe tyuuh.
Anajua kuponda nyuma ya pazia sijawahi kuona, alikuwa anamchambua demu mmoja baada ya mwingine humu, walipondwa vibaya mno
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila babu kashindikana jamani [emoji119][emoji119]
Ebu aje anipe ticket ya Ibiza holiday ishakaribia nataka kwenda kupumzisha ubongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila kwa ile siku utadhan alitumwa, mambo ya PDF yaan full heka heka.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…