Jozee mkunaji
JF-Expert Member
- Jun 11, 2017
- 459
- 611
- Thread starter
-
- #21
Inawezakana wewe ni katibu wa wahenga [emoji23]Hapo kweny kushika sikio ilikuwa shida sana maana nilikuwa kafupi kadogodogo mkono haufik nikaambiwa nirud nyumban nitaanza mwaka ujao
Kilio gani hcho hapo nilitunguaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inawezakana wewe ni katibu wa wahenga [emoji23]
Kwani hiyo ndio togwa?
KINYWAJI CHA WAHENGA
Advance technology yako. Kumbe unaweza TENGENEZA power bank ya mvukeMimi ndo muhenga kabisaaa!!nilipanga foleni kununua unga na sukari,betri tulikuwa tunaziponda ponda au unaweka juani na kuna wakati tukawa tunazichemsha na chumv ili zipate chaji[emoji16] [emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tag wahenga wenzako waje hapa kwanza wakuone mjumbe wao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hapana Mkuu me Mjumbe
Wewe ni muhenga uliye kosa Sifa namba moja [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi ni mhenga ila hiyo namba 1 sijaielewa kidogo
Nifafanulie basi kama wewe mhenga mwenzanguWewe ni muhenga uliye kosa Sifa namba moja [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wahenga huwa tunaambizana kwa mfumo huoNifafanulie basi kama wewe mhenga mwenzangu
Morning mlimbwende wangu, habari za leoHahahaha GOOD MORNING stunter
Gr8 kwa kweliMorning mlimbwende wangu, habari za leo
Aramisyuu nakukumbuka iyeee iyeee...Gr8 kwa kweli