Tag wahenga wenzako

tukumbushane na matumizi ya hii pesa kwa wahenga
 
mpiga picha akija ulikuwa unaenda kuonga na kupaka mafuta ya mgando.. basi wewe ni muhenga
 
Enzi hizo niko arusha kulikuwa kuna soda zinaitwa SHAFI KOLA zilikuwa zinauzwa mia mbili basi siku ya sikukuu kuna sehemu panaitwa OLASITI GARDEN ndo lilikuwa chimbo letu enzi hizo za wahenga...
Salmah99
 
Namba 28 noma sana ila yote hapo ya kiume nimepitia mm ni MUHENGA HASWAAA..
 
HUNISHINDI MIMI MKUU..
MM KILA MCHEZO WA KIKE NA WA KIUME NIMEFANYA..
KUBADILISHANA NGUO NA MADEM HALAFU UMEVAA CHUPI YA TMK
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Shikamoo muhenga
 
Kama ulivaa chupi ya VIP basi wewe ni Mhenga.


Nakumbuka enzi hizo tulikuwa tunachomekea ili chupi ionekane....



Kinadada walikuwa wanashonesha chupi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…