Tagalile kajiengua RAI?

nat867

Member
Joined
Feb 14, 2008
Posts
97
Reaction score
7
Ndugu wana jamvi JF, Nimekuwa nikifuatilia sakata la Habari coorperation kutaka kutumia waandishi/magazeti yake kusafisha MAFISADI na Atilio tagalile akawa hayupo tayari kwa hiyo. Naona gazeti la leo Mhariri wa Rai si tena bali A TILIO TAGALILE bali jamaa anayelalamikiwa sana DEODATUS BALILE . Mwenye taarifa zaidi atumegee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…