Tabia zenu za kibwege bwege sijui kula bata,
Misemo yenu ya kike kike cjui vepee cjui ni shidaaaaa,
Mambo yenu ya ushirikina na utapeli na wizi wa vifaa vyetu vya magari,
Sijui tabia zenu za kufanya birthday cjui vigodoro na singeli,
Sijui vitaulo na tabia na kunukia nukia kama watoto wa kike,
Tabia za kutupandishia kodi za nyumba mkisha fika hapa,
Fitna, sifa za kijinga, kukata kata viuno hadharani, na ushoga,
Kuendesha magari spidi mitaani cjui jumapili baada ya kwenda kuabudu tunawaona barabarni, mnakimbia cjui ni jogging cjui nn,
Mambo mambo yenu ya maandamano cjui takataka gani cjui,
Kuchukua wake za watu na kutuaribia ndg zetu wa vyuoni na kuwapiga dada zetu picha uchi,
Ubishi ubishi usio na tija kugomea maagizo halali ya vungozi wa serikali,
TAFADHALI HAYO MAMBO YAISHIE HAPO KWA MATIASI AU KILUVYA
SISI HUKU HATUTAKI VULUGU VINGINEVYO MTARUDI MMOJA MMOJA.