Power to the People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 1,198
- 894
mkuu pole sana, nilihama standard 2003, niliacha atm zao zikiwa bomba, sasa nipo kcb hayo mambo unayoyasema huko kcb ya kawaida kila kukicha wanafanya mambo ya kustaajabisha. mwe! pole sana
Mimi nina swali, inawezekana hela itolewe kwenye account yako na ATM card nyingine lakini ionekane ni card yako, na je mtu mwingine anaweza kutengeneza card kama yako yaani a fake card na kuitumia na hela zikatoka?
Debit card naliitumia ila nilipotaka ku-renew wakaleta kiswahili kirefu nikapiga chini.Ungemuuliza na kama wanatoa 'debit card' pia?