Baada ya matokeo ya leo aliyoyapata Yanga watu wengi tutapata misongo na depression kwa sababu hatukuzoea.
Rai yangu kwa watanzania wote, tuchukue tahadhari ya hali ya juu tusije kuleta maafa makubwa zaidi ya haya tuliyoyapata.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.