G godknows Member Joined Apr 7, 2016 Posts 29 Reaction score 47 May 28, 2023 #1 Baada ya matokeo ya leo aliyoyapata Yanga watu wengi tutapata misongo na depression kwa sababu hatukuzoea. Rai yangu kwa watanzania wote, tuchukue tahadhari ya hali ya juu tusije kuleta maafa makubwa zaidi ya haya tuliyoyapata.
Baada ya matokeo ya leo aliyoyapata Yanga watu wengi tutapata misongo na depression kwa sababu hatukuzoea. Rai yangu kwa watanzania wote, tuchukue tahadhari ya hali ya juu tusije kuleta maafa makubwa zaidi ya haya tuliyoyapata.
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 14,834 Reaction score 32,522 May 28, 2023 #2 Utoto raha sana
G godknows Member Joined Apr 7, 2016 Posts 29 Reaction score 47 May 28, 2023 Thread starter #3 Lavit said: Utoto raha sana Click to expand... Ni raha kama ukiwa wakishua