Tahadhari Bomang'ombe na Maeneo ya Jirani..

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2009
Posts
5,101
Reaction score
1,952
...watu mnaweza kulishwa nyama ya ng'ombe isiyopimwa. Basi la kampuni ya Kilimanjaro (Arusha - Dar) limegonga ng'ombe wawili karibu kabisa na kuingia stendi ya Bomang'ombe. Mwenye ng'ombe amekimbia (huenda ni kwa kuhamanika), dereva wa Kilimanjaro ametafuta wachunaji ili. kwa minibus wa kauli yake "niuze nyama nisepe zangu".

Habari njema ni kuwa hakuna abiria alieumia.
 
Hii ni nyama safi kabisa haina tatizo lolote angekuwa kafa mwenyewe hapo ndio tatizo. Nitaipataje japo kilo moja?
 
Hii ni nyama safi kabisa haina tatizo lolote angekuwa kafa mwenyewe hapo ndio tatizo. Nitaipataje japo kilo moja?

Pole mkuu, nimechelewa kuiona post yako, we nenda baa za jirani na CRDB Bomang'ombe.
 
Ng'ombe wamegongewa pale kwa wasomali.
Tukutane baadaed Ango Garden tuchome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…