TAHADHARI: DAWA AINA YA PARACETAMOL P/500 NI HATARI

Ulimbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Posts
3,768
Reaction score
4,038
Habari wana JF.

Naomba kama kuna mwenye taarifa zaidi juu ya hili atujuze.

Kuna meseji nimepokea toka kwa rafiki yangu ya kutahadharisha matumizi ya dawa aina ya paracetamol.

Meseji yenyewe ni hii hapa

“TAHADHARI!

Tahadhari husinywe dawa aina ya paracetamol iliyoingia imeandikwa P/500. Ni dawampya nyeupe sana na ni dawa inayong’aa sana. Madaktari wanasema kwamba dawa hii ina virusi viitwavyo “Machupo” ambavyo vinaaminika ni virusi hatari kuliko vyoteduniani vinavyoua kwa kasi kubwa.

Tafadhali tuma ujumbe huu kwa watu wote pamoja na familia yako kuokoa maisha……

Nimefanya sehemu yangu.

Mwisho wa Meseji.

Naomba kama kuna yeyote mweny taharifa zaidi au ametumiwa huu ujumbe atueleze.
 
TFDA IMESEMA HIYO DAWA HAIJASAJIRIWA KTK SOKO LA TANZANIA HIVYO HAIPO TANZANIA
 
Mbona mahospitali makubwa wanaendelea kuitoa?
 
Tfda nendeni tmj ipo hiyo
 
hii imekanushwa kwenye mitandao:
Detailed Analysis:
This “urgent” message, which is circulating rapidly via social media, warns you not to take a new “very white and shiny” type of paracetamol tablets that are labelled “P/500 “. Supposedly, doctors have found that this type of paracetamol contains the “Machupo” virus. According to the message, Machupo is one of the most dangerous viruses in the world and has a high mortality rate. The message asks you to share the information with others in the hope of saving lives.

Thankfully, however, the claims in the message are utter nonsense.

There are no credible news or health authority reports about such a paracetamol contamination. Nor have there been any official recalls of the supposedly contaminated medication. Of course, if the dangerous contamination described in the message was really taking place, there would be widespread news and media coverage of the incident along with official health warnings to consumers. And, of course, any contaminated products would have been removed from store shelves as the result of an official recall. The complete absence of any official news or government reports about the alleged contamination is enough, of itself, to reveal the warning message as a hoax.
 
hii imekanushwa kwenye mitandao:
Detailed Analysis:

Mkuu hilo swala la kukanusha ndiyo kawaida yao hayo makampuni ya madawa. Wana washikadau dunia nzima pamoja na baadhi ya Madaktari na wanasiasa.
Baba lao ni USA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…