TAHADHARI: Epuka kujiunga na Wapinga Kristo kwa mavazi haya

Blessed Jr

Senior Member
Joined
Nov 17, 2016
Posts
134
Reaction score
235
Kuna T-shirts zipo Hapa Tanzania zimeanza kuingia sokoni za Kupinga Kristo.

Kanye Wst Msanii wa Marekani ameamua kuanzisha dini yake na kujiita YESU wa dini yake.


Alichokifanya ni kubadili neno YESU na kujiita YEEZUS akiwa na maana ya Yesu wa kweli.

T-shirts hizo naona watu wameshaanza kuzivaa pasipokujua maana yake, na lengo la hawa watu ni kupinga uwepo wa Kristo Yesu.

Sambaza ujumbe huu kwa wapenda Kristo na kuwaelimisha watu wasivae wasichokijua.
 

Jamaa huyo alisharukwa na akili ameshapona?
 
Baki na kristo wako unayemuamini acha wengine wapige pesa kupitia neno kwa maana Hanna namna wasiojitambua ni wengi
 
Unaweza kuvaa rozali na bible mkononi na ukawa mpinga Christ so mavazi hayana maana yeyote kwa mwenye imani ya kweli.
 
Shida mkuu na Mimi nataka nionekane wa kileo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…